Miss Magogoni 2017

TAPSSODAR

Member
Apr 3, 2017
5
4
WhatsApp Image 2017-04-03 at 22.22.42.jpeg

Haya sasa hatimaye ile Siku ya kumtafuta miss Magogoni 2017/18 inakaribia kama picha inavyo elezea hapo juu ni tarehe 9 ya mwezi wa nne mahali ni pale pale wanapokutana wajanja wa mjini @maisha_basement Dar @maishaclubtz wasanii watakao Fanya usiku wako kua na furaha ni @youngdaresalama [HASHTAG]#pakarapa[/HASHTAG] baada ya kupata furaha utapata [HASHTAG]#arosto[/HASHTAG] kutoka kwa @chinbees pia @dullamakabila atakuuliza kama [HASHTAG]#umeulamba[/HASHTAG].pia special appearance by @rossendauka
Tiketi zinapatikana
@yahayabotique na @dsmtapsso chuoni no:66 Unaanzaje kukosa kwa mfano.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom