Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

0 Reactions
2 Replies
847 Views
Hongereni kwa majukumu!! Natafuta soko la uhakika la kuuza ngozi za ngo'mbe kwa sasa tayari kuna ngozi 300+ Ngozi zipo mkoa wa Morogoro na huwa wakusanyaji hukausha kwa kutumia chumvi hivyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Land Rover 109 ipo sokoni ni nzima inatembea,bodi imenyooka na rangi inang'aa, tairi mpya general tyre. ipo Arusha anaye ihitaji atume sms Piga No 0682 359343.
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Tunauza Nguruwe. Ni wa ukubwa tofauti na Mbegu tofauti (tunauza kuanzia wa miezi 3 na kuendelea). Wana afya njema na wanakuzwa kwa matunzo yanahitajika kitaalam. Bei ni nafuu sana, kama huna...
4 Reactions
62 Replies
7K Views
0 Reactions
0 Replies
521 Views
Ina vyumba viwili kimoja master..ina jiko sebule na ndani ya fence..kodi ni 250000 kwa mwezi na anapokea kuanzia miezi 6..
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Katika msimu huu wa Pasaka tunauza Kuku wetu wenye uzani wa mpaka 2.3Kg kwa TZS 15,000/=. Bei hii ni pamoja na kuchinjiwa na kuletewa mpaka ulipo kwa wakazi wa Dar. Kuku wetu ni chotara aina ya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu? Mimi ni mwanamke mjasiriamali biashara yangu ni ya kuuza askirimu hizi za uswazi za mia mia! nashkuru Mungu inanisaidia, nataka niweke some improvements katika utengenezaji kwani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari zenu? je naweza kupata mashine ambayo nitakuwa natengeneza askirimu zangu (hizi za kienyeji za vifuko za mia mia)!? mashine ambayo nitakuwa naeka juice yangu na waraka then iwe inajifyatua...
0 Reactions
0 Replies
721 Views
Nauza cm J7 SAMSUNG GALAXY 2016
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Haijawahi kutumika ni mpya kabisa. Inakuja na coil ya spare Inakuja na cups 25 bure. Bei 350,000 Inapatikana madale wazo, dar es salaam.
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Chumba chenye sebule pamoja na jiko na choo chake kinapangishwa maeneo youa savei dakika 5 tokea mliman city. Gar linafika had kwako maji ya dawasco. Bei ni 180,000/- hakuna dalali. piga 0713401812
0 Reactions
2 Replies
969 Views
habari wadau kuna ofis zinapangishwa maeneo ya victoria/kijitonyama jengo la the copycat tanzania limited zamani bmtl aliye na uhitaji huo ani pm kwa maelezo zaid ipo standby generator kuna maji...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hello! Karibu wadau wote natangaza na kutengenezewa matangazo ya biashara kwa bei nafuu Gharama inategemea na huduma unayotaka na unafuatwa hadi ulipo ukihitaji Napatikana Ferry, Kigamboni, Dsm...
0 Reactions
0 Replies
524 Views
Kipo Madale Flamingo, (Kinondoni Dar) kina ukubwa wa Meter 20x22 kinafikika kirahisi kwa gari na umeme umefika. Mimi mwenyewe ndiyo mmiliki ila sijakikatia hati bado. Bei Shiling milioni sita na...
0 Reactions
1 Replies
816 Views
Mwenye kujua nitaweza kupata wapi product hio anijuze please!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Inauzwa Bei ya mafuta ya alzeti litre 1 ni elfu nne. Litre 5 bei ni elfu ishirini. Utaletewa popote. Contact 0674567290.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Salaam wadau. Natumai mko vyema kabisa. Well, kama tittle inavyosema wadau mwenye kufaham bei ya w5 naomba anifahamishe wandugu. Nipo Dar-es-salaam. Shukran.
0 Reactions
10 Replies
15K Views
New Model bestquality bluetoothcarkit Supports flashdrive, externalTFcard Supports FMChannels from 87.5 - 108.0 Bei ni 55000tzs tuu " Ni car charger ambayo ni imara sana yenye uwezo mkubwa wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Shamba linauzwa Tsh 25M (milioni 25) ekari 1 lipo nyuma ya Gereza la Wazo hill (Machimbo) km 6 toka Barabara kuu ya Bagamoyo (Boko chama) umeme umefika,Halijapimwa bado (halina hati) Ni PM kwa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…