Mashine mpya ya popcorns inauzwa

mtafuta-maisha

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
1,982
2,930
Haijawahi kutumika ni mpya kabisa.
Inakuja na coil ya spare
Inakuja na cups 25 bure.
Bei 350,000
Inapatikana madale wazo, dar es salaam.
cdfa8cfbd623701464e1f2b6645654aa.jpg
acb7c6d6c4d4ac240e8d524091f545e7.jpg
 
Hii post ya kuongeza kipato haina post za kutosha why?????????
Hapa ndio unsjua akili za wa tz zilivyoathirika
 
Wallah nimecheka mpka basi
Mkuu huo ni uchawi yani ni sawa umefungua duka unauza bidhaa flani atoke huko jamaa aweke meza mbele ya mlango wa duka lako awe anauza bidhaa ile ile kwa bei ya chini yako...
Kama siyo uchawi utasema ni nini?
Ni afadhali afungue frem inayofuata, sasa huyu baada ya kuona tangazo langu angeenda akafungua thread yake sasa mwenyewe hajitangazi na mashine zake anasubiri tunaojitangaza avamie thread zetu huyu ni mchawi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom