Habari zenu?
Mimi ni mwanamke mjasiriamali biashara yangu ni ya kuuza askirimu hizi za uswazi za mia mia! nashkuru Mungu inanisaidia, nataka niweke some improvements katika utengenezaji kwani nataka nipate urahisi kutengeneza.
Kipindi ndio naanza nilikuwa nafunga kwa vifundo juu baada ya muda nikanunua ile mashine ambayo nakuwa najaza juice then nabana mojamoja ambayo pia inachukua muda mrefu ndoo moja kubwa inachukua masaa mawili mpaka mawili na nusu kuzifunga! Kuna kitu nimefikiria sijui kama kipo ila nahisi kitakuwepo.
Ni mashine ambayo naweza kuweka juice na kuweka waraka (plastic bag) na ikaweza kujibana zenyewe na kwa dakika chache niwe nimemaliza.
Msaada ndugu zangu kwa anaejua au aliewahi kusikia kuhusu hiyo machine please kwani natarajia baada ya hapo niwe nauza kwa jumla pia na rejareja.
Asanteni