habari zenu? je naweza kupata mashine ambayo nitakuwa natengeneza askirimu zangu (hizi za kienyeji za vifuko za mia mia)!?
mashine ambayo nitakuwa naeka juice yangu na waraka then iwe inajifyatua yenyewe kuzifunga zile askirimu?
naombeni msaada
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.