Nguruwe wanauzwa

Mfukutuzi

JF-Expert Member
Feb 15, 2015
239
175
Tunauza Nguruwe. Ni wa ukubwa tofauti na Mbegu tofauti (tunauza kuanzia wa miezi 3 na kuendelea). Wana afya njema na wanakuzwa kwa matunzo yanahitajika kitaalam. Bei ni nafuu sana, kama huna usafiri tunakuletea wenyewe (utalipia gharama kidogo za usafiri baada ya kupata mzigo wako).

Njoo PM kwa anayehitaji. Biashara ni endelevu
 

Attachments

  • ani_pig_breeds of pig_clip_image002.jpg
    ani_pig_breeds of pig_clip_image002.jpg
    15.9 KB · Views: 216
  • pigsmating.jpg
    pigsmating.jpg
    17.5 KB · Views: 160
Tunauza Nguruwe. Ni wa ukubwa tofauti na Mbegu tofauti (tunauza kuanzia wa miezi 3 na kuendelea). Wana afya njema na wanakuzwa kwa matunzo yanahitajika kitaalam. Tupo Wilaya ya Kwimba Mkoani Mwanza. Bei ni nafuu sana, kama huna usafiri tunakuletea wenyewe (utalipia gharama kidogo za usafiri baada ya kupata mzigo wako).

Njoo PM kwa anayehitaji. Biashara ni endelevu

View attachment 487448 View attachment 487449
Vitabu vimekataza kula huyu mnyama jamani!
 
Nguruwe ni Najisi refer Bible book of Leviticus chapter 11 soma chapter yote
We Prof. nawe vipi? Ukifuata mambo yote yaliyoandikwa katika Leviticus na Torati ya Musa hutaishi wewe. Si ajabu we ni Msabato mnachukua hichi mnaacha hichi. Kama mnafuata haya masheria ya Musa fuateni yote halafu tuone maisha yenu yatakavyokuwa....

Hatuokolewi kwa sheria bali kwa Neema ya damu ya Yesu na mimi naamini kabisa kuwa hakuna mtu atakayekwenda motoni kisa eti alikula kitimoto, samaki asiye na magamba au mnyama asiyecheua...
 
Shimba achana na nguruwe utatengeneza pesa but kaa ukijua sheria ya mungu iko pale pale unless you blind your soul on Gods Commandments
 
Back
Top Bottom