Best Quality Bluetooth Car Charger

amranline

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
210
95
New Model bestquality bluetoothcarkit
Supports flashdrive, externalTFcard
Supports FMChannels from 87.5 - 108.0
Bei ni 55000tzs tuu

"
Ni car charger ambayo ni imara sana yenye uwezo mkubwa wa kuchaji simu, pia ina uwezo wa bluetooth, redio, mp3. Ipo na sehemu ya kuweka flash na memory card pia. "


Wasiliana nasi 0712888884 ,0624888884 ,0754888588
Tupo Dar, QualityCentreMall
mikoa yote tunatuma kwa bei nafuu

943ffe5065dcfa93687b2b4b9b13706b.jpg

a2b49d66eb036f1786e7ea462cd1d0fb.jpg

a3dafd6bc674bcab2ec27cefb7fbc38a.jpg

4698cfb2e523a1530c560e85a1e00edf.jpg
 
jaribu ku brief kwa kiswahili kidogo

Ni car charger ambayo ni imara sana yenye uwezo mkubwa wa kuchaji simu, pia ina uwezo wa bluetooth, redio, mp3. Ipo na sehemu ya kuweka flash na memory card pia.
 
Unaamana gani. Unaposema ina blue tooth au fm feadio. Inaunganaje na radio ya gari?

Unachotakiwa kufanya ni kuhahikisha frequency za kwenye radio zipo sawa na frequency za hii car charger. Hapo unaweza kuskilia music kwa kutumia flash au unaweza kuunganisha na simu yako kwa bluetooth
 
Mkuu hv vi mp3 vya magari hua vinaungua ovyo sana, hebu nibe uhakika wa bithaa yako maana bei yake sio ya kitoto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom