mkuu dukani kwangu sild ni 255000Salaam wadau.
Natumai mko vyema kabisa. Well, kama tittle inavyosema wadau mwenye kufaham bei ya w5 naomba anifahamishe wandugu.
Nipo Dar-es-salaam.
Shukran.
hiyo w5 lite bei ni used au ni mpya???na w5 lite nauza 170000
Embu tuambie huko unakonunua wewe na sisi tukanunue mana hata Bei ya jumla bado haijafika we mwenzetu unazitoa wapi utupe na sisi hilo dealna w5 lite nauza 170000