Soko la Ngozi za Ngo'mbe

Tape measure

JF-Expert Member
Nov 26, 2015
1,980
3,578
Hongereni kwa majukumu!!
Natafuta soko la uhakika la kuuza ngozi za ngo'mbe kwa sasa tayari kuna ngozi 300+

Ngozi zipo mkoa wa Morogoro na huwa wakusanyaji hukausha kwa kutumia chumvi hivyo kufanya ngozi kuwa katika ubora mzuri zaidi.

Mwenye kuwa na taarifa za soko la uhakika ama mnunuzi, nyote mnakaribishwa
 
humu jamaa wote waganga njaa, waulize gwajima kesho atakuwa wapi watakujibu fasta,
 
Back
Top Bottom