Dar: Kuku wa Pasaka Wanapatikana

English Learner

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
356
357
Katika msimu huu wa Pasaka tunauza Kuku wetu wenye uzani wa mpaka 2.3Kg kwa TZS 15,000/=.

Bei hii ni pamoja na kuchinjiwa na kuletewa mpaka ulipo kwa wakazi wa Dar.

Kuku wetu ni chotara aina ya Tasso.

Wateja mnakaribishwa.
 
mbona hao bloila wanauzwaga elfu 10 au wako ni wa tofauti sanaaaaaa
Hawa ni chotara wa kizungu na kiafrika wenye kutaga mayai yenye kiini cha Kuku sawa na wale wa kienyeji wakati broilers ni purely wa kizungu, maalum kwa ajili ya nyama na hawatagi mayai.

Tofauti nyingine ni kwamba hawa chotara wana umri wa karibu mwaka wakati broilers ni fastafasta breed wanaotumia wiki 8 kufikia uzee.
 
Back
Top Bottom