Red mercury za viwandani na kwenye migid zinapatikana wapi?

Hahahaaaaaa, kuna kipindi miaka zaidi ya mitatu nikiwa Kariakoo nimefuata vifaa vya umeme jamaa mmoja baada ya kutambua natokea machimboni ndipo akanipa hii kazi.... Jiandae kutapeliwa hutaipata lkn unisamehe kama utafikiri nakukatisha tamaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom