mzawahalisi
JF-Expert Member
- Jan 11, 2010
- 752
- 238
Land Rover 109 ipo sokoni ni nzima inatembea,bodi imenyooka na rangi inang'aa, tairi mpya general tyre. ipo Arusha anaye ihitaji atume sms Piga No 0682 359343.

kama unauhitaji wa hii kitu nitafute kwa ku sms hiyo no na utapata kuliona physically sio kwenye picha. Natumia simu inanisumbua sana kuaploaad picha. Bei maelewano, cunajua hili ni gari la zamani, bei iko chini sanaa.
Mkuu Arusha ukafanye nin Yangu Ipo Dar Pick Up Ni Break Down na unaweza toa Vyuma kama unamatumizi yako Binafsiipo fresh sana sio kama yale mabovu Bei ni m3 Haipungui...Nina ihitaji sana tena sana.
Pickup au wagon?
Tuma picha ktk solutions@oric.co.tz
Mi naishi Dar kuja Arusha ni ngum, mpaka tufikie maelewano
Mkuu Arusha ukafanye nin Yangu Ipo Dar Pick Up Ni Break Down na unaweza toa Vyuma kama unamatumizi yako Binafsiipo fresh sana sio kama yale mabovu Bei ni m3 Haipungui...
Zingatio Road Licence Imeisha mwaka Huu
Bado unayo hiyo?Ipo nyingine Dar Ni Breakdown bei ni 3m tu anayehitaji ani PM
picha yake tafadhaliLand Rover 109 ipo sokoni ni nzima inatembea,bodi imenyooka na rangi inang'aa, tairi mpya general tyre. ipo Arusha anaye ihitaji atume sms Piga No 0682 359343.
Mshikaji kitambo sana ilishakwenda but you can Try this No. Ulizie kama ipo au Connections 0655242287 The Guy Muombe Namba ya Paulo au Brother wake Paulo wapo pale Msimbazi near Gerezani kituo kipya cha Daladala na wendokasi wanaziba Pancha na Kucharge Battery huyo Bro ndio Alikuwa na hiyo Gari so Jaribu Namba hiyo au Uende hiyo Sehemu watakupaBado unayo hiyo?