Ofisi zinapangishwa maeneo ya victoria jengo la the copycat Tanzania Ltd

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,256
16,306
habari wadau kuna ofis zinapangishwa maeneo ya victoria/kijitonyama
jengo la the copycat tanzania limited zamani bmtl aliye na uhitaji huo ani pm kwa maelezo zaid

ipo standby generator
kuna maji
kuna lift
kuna parking ya kutosha
ulinzi wa kutosha
kuhusu bei inapimwa kwa sq mt na kuhusu bei subirii kidogo mkuu ntaibandika hapa as soon as i can

mawasiliano 0687014522 karibu sana
 
Mkuu ungeweka bei kwa mfano labda kwa sqm 1 Tsh ngapi au dola ngapi au chumba ni kiasi gani, huduma zipi zinapatikana free kama vile standby generator iwapo Umeme wa tanesco ukikatika, masuala ya parking no coz biashara ukiiweka wazi zaidi inapunguza maswali na inaongeza mvuto kwa wahitaji
Niwie radhi kama nimekukwaza
 
asante mkuu

ipo standby generator
kuna maji
kuna lift
kuna parking ya kutosha
ulinzi wa kutosha
kuhusu bei inapimwa kwa sq mt na kuhusu bei subirii kidogo mkuu ntaibandika hapa as soon as i can
 
Ni dalali au mwenyewe ?
kama unataka kupangisha just pm me mambo mengine huwa hayana maana kuyajua wala hayana maana ukishajua kama ni dalali ama mwenyewe inakusaidia nini ama unataka kupoteza wakati hapa alaa
 
Mosi: Hayo sio majibu ya kumjibu mtu, let alone potential mteja.
Pili: Hakuna Swali la Kijinga aulizae anataka kujua, na mteja ni mfalme
Tatu: Hilo Swali la maana sana kwenye hii biashara Dalali kuna Commission mwisho wa biashara kwahio mtu anajipanga kutoa 10% mwenye mali hakuna hizi extras..
 
sina jibu ya maswali yenu wote wawili anaye hitaji kupangisha anipm ............. ni ofisi iliyokuwa imepangishwa na nida ambao wamehamia kwenye majengo ya serikali na zuku pia wamehama sina udalali wa kabila yoyote
 
Back
Top Bottom