Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

bei Tsh. mil. 3.5. Mawasiliano. 0784 996557
0 Reactions
0 Replies
929 Views
Wakuu Nimevutiwa sana na aina ya kizibao anachovaa mchungaji gwajima! Fundi gani mtaalamu hapa jiji anaweza nitolea kopy ya kizibao kama cha bishop gwajima Vipi gharama yake, itapendeza zaidi...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Natafuta pochi ya bastola kwa bei rahisi kwa anayejua ninapoweza kupata.
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Kiwanja kipo Boko Block A Ununio. Ni karibu na beach. Size: 40m X 35m. Kimepimwa na kina hati. Bei: 80m Mawasiliano: 0713-316174/0768-723618
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Eneo lina nyumba ina umeme pia kuna kisima cha maji na eneo kubwa tu bei mil 4o
0 Reactions
3 Replies
1K Views
0 Reactions
2 Replies
847 Views
Hongereni kwa majukumu!! Natafuta soko la uhakika la kuuza ngozi za ngo'mbe kwa sasa tayari kuna ngozi 300+ Ngozi zipo mkoa wa Morogoro na huwa wakusanyaji hukausha kwa kutumia chumvi hivyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Land Rover 109 ipo sokoni ni nzima inatembea,bodi imenyooka na rangi inang'aa, tairi mpya general tyre. ipo Arusha anaye ihitaji atume sms Piga No 0682 359343.
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Tunauza Nguruwe. Ni wa ukubwa tofauti na Mbegu tofauti (tunauza kuanzia wa miezi 3 na kuendelea). Wana afya njema na wanakuzwa kwa matunzo yanahitajika kitaalam. Bei ni nafuu sana, kama huna...
4 Reactions
62 Replies
7K Views
0 Reactions
0 Replies
521 Views
Ina vyumba viwili kimoja master..ina jiko sebule na ndani ya fence..kodi ni 250000 kwa mwezi na anapokea kuanzia miezi 6..
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Katika msimu huu wa Pasaka tunauza Kuku wetu wenye uzani wa mpaka 2.3Kg kwa TZS 15,000/=. Bei hii ni pamoja na kuchinjiwa na kuletewa mpaka ulipo kwa wakazi wa Dar. Kuku wetu ni chotara aina ya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu? Mimi ni mwanamke mjasiriamali biashara yangu ni ya kuuza askirimu hizi za uswazi za mia mia! nashkuru Mungu inanisaidia, nataka niweke some improvements katika utengenezaji kwani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari zenu? je naweza kupata mashine ambayo nitakuwa natengeneza askirimu zangu (hizi za kienyeji za vifuko za mia mia)!? mashine ambayo nitakuwa naeka juice yangu na waraka then iwe inajifyatua...
0 Reactions
0 Replies
721 Views
Nauza cm J7 SAMSUNG GALAXY 2016
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Haijawahi kutumika ni mpya kabisa. Inakuja na coil ya spare Inakuja na cups 25 bure. Bei 350,000 Inapatikana madale wazo, dar es salaam.
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Chumba chenye sebule pamoja na jiko na choo chake kinapangishwa maeneo youa savei dakika 5 tokea mliman city. Gar linafika had kwako maji ya dawasco. Bei ni 180,000/- hakuna dalali. piga 0713401812
0 Reactions
2 Replies
969 Views
habari wadau kuna ofis zinapangishwa maeneo ya victoria/kijitonyama jengo la the copycat tanzania limited zamani bmtl aliye na uhitaji huo ani pm kwa maelezo zaid ipo standby generator kuna maji...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hello! Karibu wadau wote natangaza na kutengenezewa matangazo ya biashara kwa bei nafuu Gharama inategemea na huduma unayotaka na unafuatwa hadi ulipo ukihitaji Napatikana Ferry, Kigamboni, Dsm...
0 Reactions
0 Replies
524 Views
Kipo Madale Flamingo, (Kinondoni Dar) kina ukubwa wa Meter 20x22 kinafikika kirahisi kwa gari na umeme umefika. Mimi mwenyewe ndiyo mmiliki ila sijakikatia hati bado. Bei Shiling milioni sita na...
0 Reactions
1 Replies
816 Views
Back
Top Bottom