hancy designer
Member
- Mar 25, 2017
- 40
- 17
Habar zenu mimi ni hancy naomba msaada kama kunamtu anauelewa wa kupata domain kwaajili ya blog lakini iwe domain ya bure
Poa mkuuHicho ni kitu ambacho HAKIPO kuna Domain za Bure ila sio .Com, na hizo domain za bure kuna kipindi utatakiwa ULIPIE
hakna .com ya bure ila kuna za bei rais kma .tk.ca.ga utapata kwa bei ndogo wafuate oceanmediaPoa mkuu