Kama unavipaji hivi pita hapa

fundinaizer

JF-Expert Member
Dec 15, 2016
1,757
2,706
Je unakipaji?,
Wewe ni dancer, Comedian, Mwanamziki chipukizi au mpenda burudani lakini huna mashabiki yaani fan base itakayokufanya uoneshe kipaji na kuwa maarufu.!
Basi ndo muda muafaka umefika,karibu katika kampeni ya kukuza na kuthamini kipaji chako kupitia Bongo Pixels Youtube channel.
Unachotakiwa kufanya ni ku subscribe channel ilikuwa mmoja ya wawezeshaji wa kipaji chako kuonekana kwa maelfu ya mashabiki zako..,unajua nini kingine? wadau wanaweza kukupata kupitia instagram pamoja na twitter kwa kufollow hapa chini..

Bongo Pixel youtube channel :Bongo Pixels
Follow Instagram: BongoPixels (@bongopixels) • Instagram photos and videos
Follow Twitter:BongoPixels (@BongoPixels) | Twitter

SHARE NA TAG RAFIKI WENGI UWEZAVYO KUONGEZA MASHABIKI.

Jinsi ya kushiriki kazi zako ndani ya Bongo pixels ni rahisi sana,
Tuma videos/audios zenye fani ulonayo kupitia mawasiliano yafuatayo Bongo Pixels itarusha mubashara kwa mashabiki zako,

WatsApp number 0744464835
Email: bongopixels@gmail.com

Hata wewe unayesoma post hii ni shabiki tosha wa vipaji kupitia Bongo Pixels hivyo basi pata burudani hizo kwa kusubcribe channel na kufollow ili kufanikisha kampeni hii.

[HASHTAG]#NISAIDIEKUSHARE[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom