Is today apple's day, natamani kujua

maslulkat

Senior Member
Feb 17, 2013
107
35
Natamani kujua sababu ya Leo watu kuweka apples Katika profile picture zao sanasana whatsapp
Sababu Haswaa ni Ipi kama unajua real reason please nisaidie
 
kumbeee, m mwenyew hicho kitu nimeona ila kwa sbb nilikua nimelewa viroba , nikajua n Mapera
 
Mhhh ndio kwanza nasikia toka hapa.Mie sijaona waliowekwa apple wala mapera profile zao
 
Hayo mambo nimeona chuo leo sana...ila mambo ya wanawake....wanatumiana messages.....the aim is to just make guys ask questions....nothing much!
 
Back
Top Bottom