German shepherd pure puppy

cabo

JF-Expert Member
Jun 15, 2016
4,751
5,224
Habari wanajamvi ninapenda kuwa tangazia kuwa kwa mtu yeyote mwenye shida ya kununua mbwa aina tajwa hapo juu ni mbwa wa aina yake na pia n mbwa pekee ambao unaweza kuwa train wakacope na mazingira ya binadamu wanapatikana kwa bei 500000 wanafaaa kwa ulinzi majumbani na hata maeneo mengine yasiokuwa na usalama
Tafadhali mwenye kuhitaji 0625554142
619dccc2b7a5a1687cce125ce7e514db.jpg
0654e29feebd02962bf54584f4e8c05c.jpg
1c3ab7bf69b0de419943e5931e80be0e.jpg
08040ed5154731bd541cce784df027bb.jpg
 
Dah? Nimewatamani sana awa mbwa. Nakumbuka nilifuga awa mbwa mwaka 2004. Wazuri sana katika ulinzi, Sema sasa ivi nipo katika nyumba izi za kupanga natamani kibanda changu cha kuishi kingekuwa tayari ningechukua lakini nakutafuta tuyajenge
 
Usijal ndugu karibu sana
 
Wana weeks ngapi? Na chanjo ushawapatia. Alafu jitaidi wasikae katika sakafu watapata ugonjwa wa Pavon (mapafu) wakae katika banda la mbao na sio sakafu
 
Wana weeks ngapi? Na chanjo ushawapatia. Alafu jitaidi wasikae katika sakafu watapata ugonjwa wa Pavon (mapafu) wakae katika banda la mbao na sio sakafu
Mkuuu inashauriwa bora mbwa wakae kwenye sakaf na sio kwenye mbao maana kwenye mbao ni rahis sana kujificha kwa wadudu kama kupe na viroboto
 
Mkuuu inashauriwa bora mbwa wakae kwenye sakaf na sio kwenye mbao maana kwenye mbao ni rahis sana kujificha kwa wadudu kama kupe na viroboto

Mkuu naona kama una uzoefu na mbwa....Wapi naweza pata pitbul nahitaji mmoja...nawapenda sana.
 
Mkuu naona kama una uzoefu na mbwa....Wapi naweza pata pitbul nahitaji mmoja...nawapenda sana.
Kwa mbwa wa Pitbul Lazima wakuuzie mbwa koko, wale ni vigumu Sana kwa apa Tanzania kuwatambua, maana mbwa wengi sio pure breed ya izo mbwa. Lakini unaweza Pata ila kwa Germany Shepherd mwanangu ni Bomba unapata full pure breed yake
 
Back
Top Bottom