Msaada: Nahitaji printer

Martin Luther Jr

JF-Expert Member
Apr 19, 2017
722
207
Habari yenu wana jamvi,

Nahitaji printer ya black and white only ambayo haina matumizi makubwa ya wino, naomba kwa wenye uzoefu tuwasiliane.

Asanteni sana
 
Bei ya Wino kwa sasa sina hakika,last time nimenunua 2015 ilikuwa inarrange btn 25000-30000
 
Habari yenu wana jamvi,

Nahitaji printer ya black and white only ambayo haina matumizi makubwa ya wino, naomba kwa wenye uzoefu tuwasiliane.

Asanteni sana
Kuna hp laser 1515 unaweza kuscan, photocopy na print. Wino sio ishu unaweza kuwa unajaza gharama zake ni Sh 5000 hadi elfu 7000 kwa cartiledge na mkonge nategemea upo maeneo gani. Suala la kutumia wino sana inategemea na kazi zako mwenyewe. Bei ya new cartiledge pair inafika elfu 50. Wino umeisha. Naamini utaifurahia sana. Bei nipe elfu 90 maongezi yapo.
Hotline 0659 211 222 au 0755 411 455
 
Hapo kwenye cartilage ndo sijakuelewa kabisa....ndo nin hiyo na kazi yake ni nin?
 
Hapo kwenye cartilage ndo sijakuelewa kabisa....ndo nin hiyo na kazi yake ni nin?
Ni vifaa vinavyohifadhia wino. Kwa mfano printer hii inatumia cartiledge no 650. Angalia picha
32c086e02e503b9f6f1a9bf9f9397066.jpg
87d08d6b61e7fe96bc4cd1f3af9ef0f5.jpg
03f0c2a34b1d2e713074f343e6b8b26c.jpg

Kwa hiyo hizo zipo katika pea ya wino wa rangi na wino mweusi. Zikiisha unajaza wapo mafundi kibao au unaenda kununua wino Kariakoo au kule Mabibo hosteli bei ilikuwa elfu 6

Karibu sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom