Ingiza kipato kizuri kutoka H2i ambayo haingilii ratiba zako za kila sku

Mtovingidu

Member
Feb 16, 2017
29
3
[1/27, 10:32 PM] Dr.G: KARIBU KATIKA FURSA YA

*HELPING HAND INTERNATIONAL (H2i)*

_TIN 127-248-435_
_Brela -128802_

soma ,elewa, uliza& chukua hatua(kujiunga)
Whatsap call
0756254314


*UTANGULIZI*

H2i ni taasisi ya Kimataifa isiyo ya Kiserikali, imeanzishwa huko ufilipino-Bara la Asia kwa kazi kubwa ya kuwasaidia watu masikini,walemavu, yatima, wajane na wenye magonjwa sugu kuishi maisha ambayo Mungu anapenda. Hivyo H2i imekuwa ikifanya hivyo ili kusaidia makundi haya duniani kote bila kubagua rangi, dini wala kabila. Taasisi ya H2i inamfaa mtu yeyote anayeguswa na mahitaji ya hayo makundi na anayependa fedha zake zitumike kusaidia wahitaji.

Helping Hands International

*WADHAMINI WA H2i*
H2i inadhaminiwa na makampuni mengine makubwa duniani kama vile:
Hyundai. 5) GAC Motors.
HP Laptop. 6) Bill Gate Foundation
Apple 7) Diamond Bank
Glo line

Helping Hands International

*FAIDA YA KUWA BALOZI WA H2i*
Fursa hii inakupatia kipato kikubwa na endelevu na Shirika linakupa zawadi nyingine kama:
IPad Apple mpya.
HP laptop mpya.
magari mawili mapya kutoka makampuni ya Hyundai ($15,000) na GAC Motors-Jeep Car ($27,000).
Safari za kimataifa.
Kusomeshewa watoto wako (Scholarship).
Kupewa mkopo usiyo na riba kati ya $ 12,000 hadi $ 44,000.
Kupewa nyumba ya kifahari yenye thamani ya $44,000.
Kusomeshewa watoto yatima kutoka kijijini kwako.
Kupewa mafunzo ya uongozi na utawala nje ya nchi.
Kulipwa fedha kila mwaka tofauti na zawadi $5,000.
Kupewa mafunzo ya ujasiriamali na uwekazaji.

Helping Hands International

*JINSI YA KUWA BALOZI WA H2i*
Ili uwe Balozi wa kudumu wa H2i, unatakiwa kulipia $40 sawa na TShs. 90,000/= ikiwa ni gharama za Usajili ambapo unafunguliwa akaunti itakayokuwezesha kuona kazi zako, malipo na timu yako inavyokua. H2i pia inakuruhusu kuwa na mabalozi wengine wengi duniani kote na kuanza kupokea $ 8 kila unapomsajili balozi mpya. Aidha, Kila mtu anayekuwa balozi wa H2i anatakiwa kuhakikisha anakuwa na mabalozi kati ya wawili (02) au sita (06) ambao nao watakubali kujiunga na H2i na kushiriki fursa hii adhimu.
H2i ina mfumo wa 2 by 2 matrix unaowezesha kila balozi kupanda ngazi hatua kwa hatua. Kuna ngazi 5 ambazo kila moja ina zawadi inayotolewa kwa kila anayeingia katika ngazi husika. Kila balozi anaweza kupanda ngazi kuanzia ngazi ya kwanza hadi ngazi ya tano. Zawadi zitolewazo ni kama ilivyoorodheshwa hapo juu.
Note: Unangoja nini? Fursa si ndiyo hii? Jiunge sasa na H2i tupambane na umasikini huku tukiwasaidia wahitaji.

https://helpinghandsinternational.biz

Cheo cha Kwanza
Mshiriki (ASSOCIATE)
Mtu anapojiunga na H2i anakuwa na cheo cha Mshiriki.
Mshiriki anatakiwa awe na mabalozi kati ya wawili hadi sita watakaojiunga chini yake ili nao wawe washiriki. Hapo ina maana kwamba kila mshirika anayejiunga akishapata balozi mmoja atalipwa $ 8 na balozi wawili ni $16. Mfumo wa H2i utampeleka mshiriki cheo cha Pili kinachoitwa Bwana (MASTER) atakapofikisha mabalozi sita kwenye timu yake.
Ile tu kuingia nafasi ya kuitwa Bwana (MASTER) utapewa zawadi ya $ 10 ya kupanda cheo hivyo jumla utakuwa na $ 58 Sawa na TShs 127,600.

https://helpinghandsinternational.biz.

Cheo cha Pili
Bwana (MASTER)
Ukikamilisha hatua zote za Cheo cha Kwanza cha Mshiriki (ASSOCIATE) unapanda cheo cha Pili kinachoitwa Bwana (MASTER) ambapo utapewa zawadi zifutazo:-
Kiasi cha fedha taslimu kati ya $ 100 hadi $ 1,000 sawa na Tshs. 220,000 hadi Tshs. 2,200,000.
Kuwa na nafasi ya kuchagua zawadi moja kati ya hizi zifuatazo: Fedha Tasilimu $1,000 sawa na Tshs. 2,200,000 AU Apple Ipad yenye thamani ya $1,000 sawa na Tshs. 2,200,00 na kifurushi cha mwezi cha muda wa maongezi kisichokoma AU kompyuta mpakato aina ya HP (HP Laptop) yenye yenye thamani ya $1,000 sawa na Tshs. 2,200,00.
Kupewa kiwanja (Low Density Plot).

https://helpinghandsinternational.biz

Cheo cha Tatu
Bwana Mkubwa (SUPPER MASTER)
Ukikamilisha hatua zote za Cheo cha Tatu cha Bwana Mkubwa (SUPPER MASTER) utapewa zawadi zifutazo:-
Kiasi cha fedha taslimu kati ya $ 200 hadi $ 3,000 sawa na TShs 440,000 hadi Mil. 6.6.
Gari jipya aina ya Hyundai lenye thamani ya $ 15,000 sawa na TShs Mil. 33 + Bima (Comprehensive insurance) ya mwaka mmoja.
Safari za kimataifa kwa ajili ya kujifunza masomo ya ujasiriamali.
Kuchagua watoto yatima au waishio mazingira magumu wawili kila mwezi wasomeshwe bure na H2i.
Kuchagua familia mbili maskini katika jamii yako waweze kusaidiwa na H2i.

https://helpinghandsinternational.biz

Cheo cha Nne
Waziri (MINISTER)
Ukikamilisha hatua zote za Cheo cha Nne cha Waziri (Minister) utapewa zawadi zifutazo:-
Kiasi cha fedha taslimu kati ya $ 300 hadi $ 4,000 sawa na TShs 660,000 hadi Mil. 8.8.
Gari jipya la kifahari aina ya Hyundai Jeep lenye thamani ya $ 27,000 sawa na TShs Mil. 59.4 + Bima (Comprehensive insurance) ya mwaka mmoja.
Safari za kimataifa kwa ajili ya kujifunza masomo ya ujasiriamali na uwekezaji.
Mkopo usiokuwa na riba kati ya $12,000 na $ 44,000 sawa na Tshs. Mil. 26.4 hadi Mil. 96.8.
Kuchagua watoto yatima au waishio mazingira magumu wawili kila mwezi wasomeshwe bure na H2i.
Kuchagua familia mbili maskini katika jamii yako waweze kusaidiwa na H2i.
Nafasi ya kuchagua watu wawili katika dhehebu unalosali ambao watasomeshwa ili kuja kumtumikia Mungu (Theological training).

https://helpinghandsinternational.biz

Cheo cha Tano Waziri Mkuu (PRIME MINISTER)
Ukikamilisha hatua zote za Cheo cha Tano cha Waziri Mkuu (Prime Minister) utapewa zawadi zifutazo:-
Kiasi cha fedha taslimu kati ya $ 2,000 na $ 12,000 sawa na Tshs. Mil. 4.4 hadi Mil. 26.4.
Kujengewa nyumba yenye thamani ya $ 40,000 sawa na TShs 88,000,000.
Safari za kimataifa kwa ajili ya kujifunza masomo ya ujasiriamali na uwekezaji.
Mkopo usiokuwa na riba kati ya $12,000 na $ 44,000 sawa na Tshs. Mil. 26.4 hadi Mil. 96.8.
Kuchagua watoto yatima au waishio mazingira magumu wawili kila mwezi wasomeshwe bure na H2i.
Kuchagua familia mbili maskini katika jamii yako waweze kusaidiwa na H2i.
Nafasi ya kuchagua watu wawili katika dhehebu unalosali ambao watasomeshwa ili kuja kumtumikia Mungu (Theological training).
Kuwa Mjumbe wa Bodi ya H2i hivyo kuhudhuria vikao vya bodi kila mwaka.
Kupewa mafao kila mwaka $5,000 sawa na TShs. Mil. 11.
Safari za kimataifa kwa ajili ya kuitangaza H2i.

https://helpinghandsinternational.biz

*WAJIBU WA BALOZI WA H2i*

Wajibu wa kila balozi ni kama ifuatavyo:
Kuitangaza H2i popote chin ya udhamini wa Hyundai motors, Gac motors, hp computers, lenovo computers, diamond bank trust n.k
Kuwaleta wanachama wapya ambao nao watakuwa Mabalozi wa H2i.
Kuwafundisha balozi wapya waweze kuielewa H2i.
Kuiwakilisha H2i kwa kuteua watoto yatima au wahitaji watakaosaidiwa pale muda wa kufanya hivyo unapofika.

https://helpinghandsinternational. biz
[1/27, 10:33 PM] Dr.G: WHAT IS H2i?

H2i (HELPING HANDS INTERNATIONAL) is an NGO that provides humanitarian services, Financial Empowerment Program and Trade & Skills Acquisition Services.

-No buying
-No selling
-100% risk free

Services include:
1. Humanitarian services
2. Skill Acquisition Services
3. Assets and Property Support
4. Financial Empowerment
5. Scholarship Awards

HOW DOES IT WORK?

When you donate your $40 (N6,600) and you are registered, you will become a member of H2i

Now because the vision is to touch lives globally, each member is required to invite at least "2 people" to also become members and enjoy full benefits.

After registration, you'll have an H2i account with inbuilt E-wallet.

(...E-wallet is where bonuses and other earnings are deposited for use by the account owner).

This account is accessible with your Username and password.

The more people become members in your team, the more you grow in levels and stages.

Every new member is required to invite at least "2 people" and by so doing many
people will become members in the team.

There are 5 stages:

Stage 1 =Associate
Stage 2 =Master
Stage 3 =SuperMaster
Stage 4 =Minister
Stage 5 =PrimeMinister

And there are specific bonuses and incentives, which members earn at each of those stages:

Stage 1:

You get $16 referral bonus ($8 each for 2 people you invited). Or $48 if you referred all the 6 people in your stage 1
You also get $10 matrix bonus.

Stage 2:

You will earn a minimum of $1000 (N165,000)
You will qualify for a brand new HP laptop or Apple iPad worth over N135,000
You will be given a CUG line for limitless communication.

Stage 3:

You earn $3000 (N495,000)
You qualify for a brand new HYUNDAI ELANTRA (the latest model)
You also get a cheque of $1000 each for 2 less privileged people, whom you personally recommended to H2i

(Note: this is a grant, not a loan. And it is given to non-members by H2i courtesy of you)
You also get an int'l trip sponsored by H2i.

Stage 4:

You earn a total of $6000
You qualify for a brand new Hyundai ix35 jeep worth over $28,000
?You will also be privileged to empower the orphanage or disable home

You qualify to apply for loan up to $12,000
You also qualify for 70% property support services etc.

Stage 5:

You get $12,000
$40,000 housing fund
$2000 education fund for 2 children
Elite membership loan up to $44,000
And so much more...

Infact, the benefits you enjoy in H2i is enormous and can't be exhausted.
Website :www.helpinghandsinternational.biz
 
Mtu anamhubiria jirani kuhusu fursa za mamilioni wakati ndugu zake wanashindia uji, kama ni rahisi kiasi hicho na nivyowajua Watanzania basi mngeanza kwenda kukusanya ndugu zenu wakishatajirika ndio mngekuja kwetu.
Kama vip komaa tu na ukoo wako mkishatajirika wote mtakuja kutupa ajira hata za kufagia .
Hakuna hela rahisi hivyo nyinyi.
Tatizo moja la Watanzania ni uongo na ujanja ujanja, utamkuta mtu anayehubiria wenzake eti utapewa gari 2, sijui safar za bure na porojo kibao yeye hamiliki hata sehewa na hana hata kiwanja cha kupewa na halimashauri.
Ndio maana ushoga unaongezeka
 
Jaman hii ni fursa Nzr tu hakuna ulazma wa kujiunga na huwez lazmishwa ujiunge lkn kama unaona inakufaa ifanyie tafiti na ndpo ujiunge ukianza kuicrash halafu bado hujui ukwel wa mambo utakuwa umekurupuka mkuu utakuta MTU huyohuyo eti anatafuta kaz jaman watanzania ebu tubadilike na Iman potofu
 
Jaman ukitaka mafanikia smama wewe kama wewe usiangalie mafanikio ya mwenzako ukitaka kuwajua walofanikiwa na H2i utatuona lkn wewe utakuwa umechelewa na huwezi kukimbizana na MTU alokutangulia mkuu
 
Huu ni wizi wa mchana. Ufilipino ni kati za nchi maskini sana bara Asia. Kwanini shirika lao nitake kuwasaidia masikini huku Africa wakati kwao makapuku yamejaa. Stukaaaa ndugu.
 
Yaaani! Kila kukicha biashara za kimtandao eti pata Pesa bila kuharibu ratiba yako. Hii yote ni baada ya kuona kila mtz saiz kama karogwa hivi na maisha. Ujanja umekuwa mwingi asante lkn.
 
ati utajiri, hapo ndugu zake Hawana hata uhakika wa kupata dona la mchana. Ye mwenyewe ukimuangalia anayehubiri huo utajiri, suruali ina karibia miaka 4 toka inunuliwe Kama sio blauzi
 
Back
Top Bottom