Karibu mkazi wa Iringa kwenye semina ya kibiashara na Kampuni ya Oriflame.
Ukiwa tayari na unauhitaji kuskiliza fursa ya biashara hii karibu tukutane pale Posta Garden. Nitakuwa pale ili kutoa...
Tanzania Educational Publishers Ltd iliyoko Manispaa ya Bukoba Mkoa wa Kagera, inakutatangazia upatikanaji wa vitabu mbalimbali vya Kilimo na Mifugo kwa bei nafuu. kwa maelezo zaidi tembelea...
Nauza kiwanja maeneno ya Tegeta Madale- Mbopo cha ukubwa wa 40*40.
Hakijapimwa, ila nyaraka za serikali ya mtaa zipo.
Bei 18Million, maongezi yapo kidogo.
Karibuni.
Salaam Wakuu....
Usiku wa kuamkia jana niliibiwa vipuli vya gari aina ya Caina Ti T711 DEH
Kwakuwa jamii forum ni mtandao mpana nimeona ni vema kuwajulisha ili ambao mna magari mkawa makini msije...
nauza simu yangu aina ya Tecno C8 ikiwa katika hali nzuri sana.Simu haina tatizo lolote,haina scratches wala dent yoyote.Angalia picha ukipenda njoo tuzungumze. 0788309409
Maelewano kidogo yapo
Rejea kichwa cha habari,Tv aina ya aborder inch 24 na dish pamoja na king'amuz chake aina ya star Times,kwa jumla ya Tshs 350000/= NB:napatkana dodoma municipal,receipt zpo coz ni mali yangu.
Habari za asubuhi Wakuu, kama mnavoona picha tunauza dagaa wa kukaanga kutoka mwanza kwa bei nafuu kabisa, Ndoo ni sh 50,000 , kilo moja ni sh 8,000 na unaletewa popote ulipo, Tunapatikana dar kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.