Ninayo kama hiyo nimeitumia mpaka sasa ni zaidi ya mwaka mmoja na nusu na bado ninayo ni simu imara sana ila huduma ya 4G hamna.Ina 4G??
Siweziii nkanunua simu used zama hizi isiyo na 4G Aseeeee,kama kuna mtu anayo ya 4G anistueeeNinayo kama hiyo nimeitumia mpaka sasa ni zaidi ya mwaka mmoja na nusu na bado ninayo ni simu imara sana ila huduma ya 4G hamna.