KIWANJA TEGETA MADALE -MBOPO

DKNY

Member
Nov 4, 2010
30
10
Nauza kiwanja maeneno ya Tegeta Madale- Mbopo cha ukubwa wa 40*40.
Hakijapimwa, ila nyaraka za serikali ya mtaa zipo.

Bei 18Million, maongezi yapo kidogo.

Karibuni.
 
Nauza kiwanja maeneno ya Tegeta Madale- Mbopo cha ukubwa wa 20*20.
Hakijapimwa, ila nyaraa zote za serikali ya mtaa zipo.

Maji na umeme pia vipo karibu.

Kwa atayehitaji tuwasiliane kwa namba hii: 0787998926
Kaka Maji yamefika lini Mbopo?
Je, pale kwenye kanisa la walokole yashafika pia?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom