KUIBIWA VIPULI VYA GARI CARINA

Mwitakesowani

Member
Jul 24, 2012
94
29
Salaam Wakuu....
Usiku wa kuamkia jana niliibiwa vipuli vya gari aina ya Caina Ti T711 DEH
Kwakuwa jamii forum ni mtandao mpana nimeona ni vema kuwajulisha ili ambao mna magari mkawa makini msije kukutwa na yaliyonipata.. Vifaa walivyoiba ni side mirror,power window na taa za nyuma, vifaa vyote nilivyi labe. Kwa wamiliki wa maduka ya vipuli mjiepushe kununua vifaa toka mkononi mwa watu, kwa yeyote atake ona mtu anauza vifaa tajwa hapo juu awasiliane nami kwa namba 0786855280

Asante
 
Huyo kakumomesha tu maana kama vina lebo basi hakuna atachoweza vifanyia
 
Kama ni dar nenda gerezani utavipata japo utavinunua upya ila usiwaze pooisi utapoza muda. Wahi kabla hawajaviuza vifaa vya gar ndogo vina soko zaid sababu ya muingiliano na magar mengine madogo madogo
 
Ni kweli kama ni Dar wahi gerezani. Kwa kuwa vina label bei inaweza kupoa. Pole sana .
 
Back
Top Bottom