Shamba linauzwa Bagamoyo

fukyosi bagamoyo eka ni 150,000 ndo beh ya juu na punguzo lipo....
 
Wakuu naomba mawasiliano ya yeyote anayekaa bagamoyo na ana uelewa kidogo wa haya mashamba, nimeona bei 150000 nimekua interested, naombeni msaada tafadhali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom