Karibuni wakazi wa Iringa kwenye fursa ya kibiashara

Mar 22, 2017
37
44
f26fba44cd7fea3322956485c145d5c0.jpg


Karibu mkazi wa Iringa kwenye semina ya kibiashara na Kampuni ya Oriflame.

Ukiwa tayari na unauhitaji kuskiliza fursa ya biashara hii karibu tukutane pale Posta Garden. Nitakuwa pale ili kutoa elimu ya biashara hii na fursa ya biashara kwa yeyote anayehitaji kujiajiri.

Pia ntakushirikisha namna unaweza kuanza biashara hii bila mtaji mkubwa isipokuwa tsh 20,000/=

Nikiwa na maana 10,000/= ni ya kiingilio na hiyo 10,000/= nyingine ni ya vitendea kazi

Hakuna kiingilio, ni bure kabisa kuskiliza fursa.

Muda ni saa tisa kamili na ukihitaji kuwasiliana nami kwa kuhusia na biashara hii tumia simu namba 0672416294
 
Back
Top Bottom