kwahiyo tani moja itakuwa 12,000,000 au? kama ni hivyo hutapata kwa hiyo bei huku tunanunua tani 17,200,000 Arusha1200
mkuu we uko wapi na vp huko ulipo ni bei gani kwa sasaAu type gani ya maharage unataka aisee.
Nipo Turiani. Huku bado mda wa kuanza kuvuna ila bei kwa gunia ni 220 mpaka 250mkuu we uko wapi na vp huko ulipo ni bei gani kwa sasa
maharage yapiNipo Turiani. Huku bado mda wa kuanza kuvuna ila bei kwa gunia ni 220 mpaka 250