beautifulonyinye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 728
- 481




Habari za asubuhi Wakuu, kama mnavoona picha tunauza dagaa wa kukaanga kutoka mwanza kwa bei nafuu kabisa, Ndoo ni sh 50,000 , kilo moja ni sh 8,000 na unaletewa popote ulipo, Tunapatikana dar kwa maelezo zaidi njoo Pm.
KARIBUNI SANA