Hiyo mileage umekosea or? Kwa gari hiyo na plate nr hiyo kwa price hiyo utakesha !!Haidaiwi mkuu.
Ongezea uagize mkuu! Kisha ulete feedback.Hiyo bei ukiongeza laki 7 unapata Imported, with low mileage.
Jaribu kulifikiria na hilo
Nimeaagiza ikaingia january hii, na hiyo comment uliyoi-quote ndo feedback yakeOngezea uagize mkuu! Kisha ulete feedback.
Hongera mkuu.Nimeaagiza ikaingia january hii, na hiyo comment uliyoi-quote ndo feedback yake
Low mileage siyo kitu mimi Nina AYK ina 108,000Hiyo mileage umekosea or? Kwa gari hiyo na plate nr hiyo kwa price hiyo utakesha !!
Engine size 990cc
161,000Km
Black
Automatic
Engine Safi Haisumbui
Bei ni Million 6 tu.
0625 95 40 09
View attachment 506558View attachment 506559View attachment 506564View attachment 506565View attachment 506566View attachment 506567View attachment 506568View attachment 506569View attachment 506570