Natafuta nyumba ya kupanga yenye
chumba,
sebule,
jiko dogo
na choo ndani....
maji yawepo na umeme wa kujitegemea....
Maeneo ninayoyahitaji ni kinondoni, sinza, ,mabibo, survey, mpakani...
Nyumba ipo maduka matatu umbali mfupi kitokea kimara mwisho.
-chumba self na sebule
-Ina tiles, madirisha alminium na iko katika ubora wa hali nzuri kabisa
-Ina fensi, paking kubwa na ndani ya...
Kampuni ya G-soft security systems inatoa ombi kwa watanzania wote wanaotaka kufungiwa mitambo ya ulinzi katika maeneo yao muhimu kama
1. Nyumbani
2.Viwandani...
Je, una kazi inayohitaji Translation (ufasiri) au inayohitaji Editing (uhariri)?
Huenda ni:
- muswada wa kitabu (manuscript)
- ripoti
- filamu
- kitabu
- tovuti (websites)
- dissertation
- n.k...
Shamba ni la urithi bado halijapimwa.
Lipo kijiji cha kwala wilaya ya kibaha vijijini(kijiji ambacho kuna miradi 2 mikubwa ya serikali yani ujenzi wa station ya reli mpya standard gauge pamoja na...
Kama tangazo linavyojielezea nauza laptop yangu aina ya Samsung. Bei ni 200,000 ila maelewano yapo. Samsung NP-N150-JPB1US Netbook, Intel Atom N450 1.66GHz, 1GB, 250GB, 10.1", Windows 7 Starter...
Waungwana nina landcruiser hard top yangu imeanguka, nilikuwa naipenda sana, Ilikuwa na livu sprring so ni old model. Kama kuna mtu ana hardtop ambayo imepark na aitumii tafadhali ni PM ili...
Container la futi 40 lipo Morogoro,lina madirisha manne,linaweza kutumika kama nyumba linauzwa Tsh.6 million.Mazungumzo yapo.
Documents zipo zote
Piga 0784299347