Nahitaji nyumba ya kupanga Dar es salaam

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,569
9,429
Natafuta nyumba ya kupanga yenye
chumba,
sebule,
jiko dogo
na choo ndani....
maji yawepo na umeme wa kujitegemea....

Maeneo ninayoyahitaji ni kinondoni, sinza, ,mabibo, survey, mpakani, kijitonyama au ubungo

Na maximum price iwe 200k..isizidi hapo
Kwa mwenye nacho au mwenye taarifa kuhusu nyumba ya aina hii tuwasiliane 0738339726
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom