Nauza Mzigo wa Stationery

Amani kwenu wadau,
Nina mzigo kidogo wa stationery una thamani zaidi ya laki 3, mimi nauza kwa bei ya hasara laki 1 na nusu tuu.
Kwa anayehitaji anichek hapa 0626852910 kwa maelezo zaidi.
Napatikana tabata, karibuni
/QUOTE]
Mkuu hiyo thamani ya shilingi laki tatu ya huo mzigo ni katika bei ya kununuliaa wewe hizo bidhaa au katika bei ya kuuzia hapo ilipokuwa ofisi yako?
 
Back
Top Bottom