Nahitaji kuchimbiwa kisima cha maji

buthabutha

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
659
396
Naitaji kufahamu gharama ya kisima kirefu cha maji, nikifahamu bei yake basi nitaitaji nipate kisima SIMIYU bariadi

Karibuni wataalamu
 
Wachimbaji wanachimba kwa mita so itategemea maji yatapatikana urefu gani lkn around 30,000/- hadi 50,000/- kwa mita moja hyo bei inajumuisha mpk completion na casing
 
Musoma nani anaweza kufanya Kazi hio ya kuchimba visima??

Kama yupo ni-pm tafadhali
 
Back
Top Bottom