Apartments zinapangishwa kigamboni

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
48,077
2,000
inavyumba viwili kimoja master,kuna jiko,choo na bafu public...sitting room,madirisha ya aluminium,nyumba ina tiles,juu gypsum,kuna fence na geti,parking ya magari ni kubwa tu..ziko apartment 3,kila moja inahitegemea luku yake....nyumba ziko kwenye finishing ya mwisho baada ya wiki mbili zitakuwa zinekamikika,apartment hzo zipokigamboni vijibweni,soweto
Kodi ya mwezi ni 300,000/ tunapokea kodi ya miezi sita sita.....
 

Attachments

G.Jacob

JF-Expert Member
Aug 12, 2013
3,514
2,000
Mimi kodi ya laki tatu nalipa kwa miezi sita na hadi leo narudi nyumbani usiku natoka alfajiri tusionane na Mzee Mbonde mana nadaiwa huu mwezi wa pili sasa.
 

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
48,077
2,000
Mimi kodi ya laki tatu nalipa kwa miezi sita na hadi leo narudi nyumbani usiku natoka alfajiri tusionane na Mzee Mbonde mana nadaiwa huu mwezi wa pili sasa.
Sijaelewa ujunbe wako chief

Ova
 

Adharusi

JF-Expert Member
Jan 22, 2012
13,891
2,000
Watanzania masikini wanaishi nyumba za gharama kubwa(pango).. Matajiri nyumba za nafuu
 

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,486
2,000
Nyumba hata iwe nzuri kiasi gani kama ni ya kupangaisha ni ya kupangisha ty
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom