Nyumba ya kupanga Kimara

Craig Natson

Member
Jul 3, 2013
80
49
Nyumba ipo maduka matatu umbali mfupi kitokea kimara mwisho.

-chumba self na sebule
-Ina tiles, madirisha alminium na iko katika ubora wa hali nzuri kabisa
-Ina fensi, paking kubwa na ndani ya fensi kuna wapangaji 2 mgeni atakua wa3
-huduma zote muhimu zipo karibu.
-pia kuna choo cha public

BEI 100,000/=

Mawasiliano 0655366915
 
vyumba 2, choo cha public ,tiles.ndan ya fensi...luku yake na maji ndan vinaendaaje mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom