Samsung Laptop inauzwa

Dodo18

JF-Expert Member
Feb 26, 2011
315
93
Kama tangazo linavyojielezea nauza laptop yangu aina ya Samsung. Bei ni 200,000 ila maelewano yapo. Samsung NP-N150-JPB1US Netbook, Intel Atom N450 1.66GHz, 1GB, 250GB, 10.1", Windows 7 Starter, Red Gradation Pattern.
 
Attachments

  • DSC_0179.JPG
    DSC_0179.JPG
    29.1 KB · Views: 39
  • DSC_0178.JPG
    DSC_0178.JPG
    33 KB · Views: 39
  • DSC_0177.JPG
    DSC_0177.JPG
    42.2 KB · Views: 41
  • DSC_0176.JPG
    DSC_0176.JPG
    42.4 KB · Views: 39
Tatzo min jau sana hizo

Nnayo yangu moja nimehangaika kuuza mpaka 150000 lakin hakuna wateja.
Nakushaur bora uhifadhi tu ama umgawie nduguyo.otherwise watu watakukera tu humu maana Laptop kubwa zinaanza laki2 kwenda juu na zimejaa sanaaa
 
Mimi Niko shinyanga mkuu ila tar 15 mwezi huu ndio nakuja dar na ninashida na laptop unaweza kunisubiri
 
Tatzo min jau sana hizo

Nnayo yangu moja nimehangaika kuuza mpaka 150000 lakin hakuna wateja.
Nakushaur bora uhifadhi tu ama umgawie nduguyo.otherwise watu watakukera tu humu maana Laptop kubwa zinaanza laki2 kwenda juu na zimejaa sanaaa
Niuuzie kama bado unayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom