Samsung note 3 inahitajika

mkabaroho

JF-Expert Member
Oct 16, 2012
300
373
Kwa mwenye samsung note 3 iliyoharibika beyond repair au iliyofungiwa na TCRA tuwasiliane aniuzie. Ni PM kama unayo kuna kitu nahitaji humo.
 
Upo wapi nikuuzie yangu bovu iliyofungiwa alafu touch ina shida
 
nipo arusha ipo lakini nzima kabisa haina shida iko clean 370k
note3
 
Back
Top Bottom