Bei ya tv inch 32 Mbeya.

ni ngumu

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
4,292
7,189
Wapi naweza pata tv inch 32 nikiwa mbeya kwa bei nafuu..msaada tafadhali
 
  • Thanks
Reactions: Dyf
Mimi nauza TV dar star x inch 32" mpya 390,000/ ,naweza kukupelekea mpaka kwenye kituo cha basi ubungo..gharama ya kuisafirisha mbeya juu yako.
0715677739
IMG-20170610-WA0055.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom