Nauza shamba 30 heka square metres 2100

Nauza shamba 30 heka square metres 2100

chazi piere

Senior Member
Joined
Jun 12, 2016
Posts
132
Reaction score
73
Shamba ni la urithi bado halijapimwa.
Lipo kijiji cha kwala wilaya ya kibaha vijijini(kijiji ambacho kuna miradi 2 mikubwa ya serikali yani ujenzi wa station ya reli mpya standard gauge pamoja na bandari kavu/dry port)
Kijiji kimesajiliwa hivyo ukihitaji kupimiwa na kupata hati miliki za kimila inawezekana.
Bei 1M @Heka(maongezi yapo)
Contacts: +255625511803
 
Vp uduma muhimu kama maji umeme na kituo cha afya vinapatikana karibu?
 
huduma muhimu zipo maji ya bomba,umeme,kituo cha polisi,zahanati,shule msingi na secondary.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom