SOFTWARE Computer software repair and maintanance

imanihope

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
379
89
KWA COMPUTER YOYOTE
KUBADILI WINDOWS
KUBADILI AU KUWEKA PROGRAMS
CALL/SMS/WHATSAP 0787419289 TUPO UKONGA DAR.
 
Msaada
Nna pc angu aina ya hp imeniletea BOOTMGR missing, press cntrl+alt+de to restart lakin hata nikifanya hivo still inaonesha hivo. Baadae nikaiacha. Lakin nimekuja kuwassha haiwaki inonesha taa yakuonesha haina charge.
Msaada plz.
hapo unatakiwa ku-repair hiyo OS ya PC yako kwa kutumia CD ya window au uweke OS(window) nyingine...
 
Ebhana mkuu mm Nina laptop Dell vostro nimeweka OS window 8 pia niliweka window 7 lakin haitoi sauti kwa nje lakin nikiweka earphones napata sauti kwa earphones lakin external sound ndio hamna msaada tafadhar
 
Tatzo lipo hvi nilipoweka hyo window 7 ilikua inatoa sauti Mara ikaacha kabsa kutoa saut ila niliona nijaribu kuweka window nyingne bdo tatzo linaendelea
 
Nina laptop samsung min. Ile yenye solar panel imezima ghafla, charge inaonesha inaingia maana taa inawaka but haiwezi ku boot, nimetoa hard disk kuiweka kwenye pc nyingine ni nzima.ram ipo vizur. What might be the problem?
 
Nina laptop samsung min. Ile yenye solar panel imezima ghafla, charge inaonesha inaingia maana taa inawaka but haiwezi ku boot, nimetoa hard disk kuiweka kwenye pc nyingine ni nzima.ram ipo vizur. What might be the problem?
toa battery toa adapter kisha bofya button ya kuwasha kwa sekunde kama 30 kisha chomeka adapter bila battery na kuiwasha ikigoma PM
 
Back
Top Bottom