Habari zenu wana JF
Naomba kufahamu ni center zipi kwa mkoa wa Dar es salaam wanatoa mafunzo ya computer?
Na ada zao zipoje?
Kwa anaefahamu naomba kujuzwa
Asanteni.
Iwapo una kazi inayohitaji Translation au editing, karibu sana.
Inaweza kuwa ni:
- muswada for editing
- kitabu (for translation)
- ripoti for editing
- movie for subtitling
nk.
Habari wakuu, napokea order za vifaranga wa kuku wa kienyeji na unapewa elimu namna ya kuwatunza, bei ya kifaranga kimoja shs. 1500 nipo mikocheni Dar es salaam, karibuni sana.
Mawasiliano 0713553753
Wanakijiji wa wilaya ya Mkuranga,Pwani wamepima maeneo yao na kuamua kuuza kwa bei rahisi sana.Viwanja vimepimwa vizuri,vimekatwa barabara za mitaa na vipo eneo zuri,mabomba ya maji...
Nina project ya nguruwe kwenye plot ya 1600 Sqm.nguruwe wapo 34.asilimia kubwa wengi ni majike.wawili tayari wana mimba na wawili tumewapandisha.madume wako Kama 8.project ipo bagamoyo...
[emoji170] Habari Tanzania
[emoji843]Napenda kuitambulisha kwenu page mpya ya washabiki wa chelsea Tanzania.
[emoji843]mshabiki yoyote kutoka nchi yoyote unakaribishwa kutoa support...
Habari nina shida kidogo nahitaji kukopeshwa elfu 50 na ataenikopesha nitampa cm yangu km kuweka bondi,haitozid week 2 nitamrudishia nitachukua cm yangu..aliyetayar kutoa msaad anipm.
Vitu vya salon vinauzwa
1.Draya 7 Made In Italy
Zimetumika miezi mitatu tu
2.Steamer 2
3.Sofa ya watu watatu
4.Beseni la kuoshea kichwa
5.TV na king`amuzi chake cha Startimes
Contact me kwa...
Habar za asubuh wana jamvi, husika na kichwa cha habar apo juu, kwa yeyote atakayehitaji kiwanja chenye ukubwa huo ani PM, kiwanja kipo mkundi manispaa ya Morogoro karibu na watumishi housing...
Wadau habari zenu, nimepata tatizo la ghafla nahitaji 20,000 nitarudisha 25,000 jumatano. Sina cha kuweka dhamana ila ni uhakika(uaminifu 100%).
Msaada jamani ni shida ya kifamilia, asanteni...
Wakuu naomba nina gunia 80 za alizeti sasa naomba kujua kama naruhusiwa kwenda kuuza nchini kenya nasikia huko bei nzuri mwenye uelewa na haya mambo naomba a nisaidie.
Na kama naruhusiwa kuvusha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.