Msaada: wa Kitambaa cha Kanvasi..

Msaada: wa Kitambaa cha Kanvasi..

Fika Kariakoo soko kuu lango la kusini nje kuna maduka ya vitambaa vya nguo.

ulizia maeneo hayo vipo vingi
 
Fika jengo la Kenice Pool table maeneo ya external mbele kidogo ya kituo cha basi cha Mabibo hostel kuna duka la vifaa vya Arts zinauzwa hizo canvas wanapima kwa metre. Au unaweza fika mnazi mmoja Jirani ya kcb bank kuna duka la art linaitwa Hussein emporium utapata.
 
Back
Top Bottom