Alizeti

gmail mkulima

Senior Member
Jun 11, 2017
189
250
Wakuu naomba nina gunia 80 za alizeti sasa naomba kujua kama naruhusiwa kwenda kuuza nchini kenya nasikia huko bei nzuri mwenye uelewa na haya mambo naomba a nisaidie.
Na kama naruhusiwa kuvusha bonda namanga ushuru ni shiringi ngapi.
 

jimmyfoxxgongo

JF-Expert Member
Jan 23, 2013
5,322
2,000
Mkuu ukisubiri kuruhusiwa ukisubiri sana.

Nch hii wajuaji sana na were tembelea humo humo kwenye ujuaji.

Kama inawezekana tafuta njia za panda upele ke mzigo upiget pesa mkuu.

Huku nch nzima wapo busy na makinikia
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom