Viwanja vinauzwa mfuru-mwambao na Malogolo,Pwani

DR.POLITICS

Member
Dec 16, 2015
69
42
Wanakijiji wa wilaya ya Mkuranga,Pwani wamepima maeneo yao na kuamua kuuza kwa bei rahisi sana.Viwanja vimepimwa vizuri,vimekatwa barabara za mitaa na vipo eneo zuri,mabomba ya maji yameshapitishwa kwenye barabara kubwa na za Mtaa.Eneo lipo
karibu na kigamboni.

Ukubwa wa kiwanja ni 20X20 Meters.
Bei ni Tsh.900,000(Laki Tisa).

Kwa wanaochukua ekari,utakatiwa viwanja ndani yake na kila kiwanja kitakuwa ni sh.750,000.

Wahi sasa watu wanapapania.

Kwa mawasiliano zaidi,
Simu: 0625528872
WhatApp: 0628292638
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom