Nauza project yangu ya nguruwe

suziedalitso

Member
Apr 24, 2015
15
45
Nina project ya nguruwe kwenye plot ya 1600 Sqm.nguruwe wapo 34.asilimia kubwa wengi ni majike.wawili tayari wana mimba na wawili tumewapandisha.madume wako Kama 8.project ipo bagamoyo kiromo.ninauza plot nilipojenga mradi pamoja na mradi wenyewe.Nina vijana wawili wanaosimamia ambao wako wazuri tu na wamiinifu.lengo nauza mwezangu anataka finance ya haraka ya tender nyingine aliyopata na ule ni mradi Wa kusubiri.more info.picha zilikuwa kwenye simu nyingine ilingia virus mpk niende shamba.inbox or whattsap me if interested in buying the project.0786 057996/+255627800800/0756661761 for more details.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom