Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nahitaji pikipiki isiyozidi cc125, hasa mpya. Ni wapi ninapoweza kuipata kwa dar na aina zipo ni bora?!
0 Reactions
0 Replies
631 Views
HABARI WADAU NATAFUTA SUZUKI SWIFT NAMBA B AU C NINA MIL 3.5 IWE KATIKA HALI NZURI NIPO ARUSHA TUWASILIANE ,NINAHITAJI HARAKA MWENYE NAYO TUWASILIANE NAMBA 0752773839
0 Reactions
0 Replies
856 Views
inavyumba viwili kimoja master,kuna jiko,choo na bafu public...sitting room,madirisha ya aluminium,nyumba ina tiles,juu gypsum,kuna fence na geti,parking ya magari ni kubwa tu..ziko apartment...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
hivi vitu vinani changanya kuvitofautisha, naomba mnisaidie kuvitofautisha iki wezekana na picha pia bei zake zikoje?
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Kwa mwenye samsung note 3 iliyoharibika beyond repair au iliyofungiwa na TCRA tuwasiliane aniuzie. Ni PM kama unayo kuna kitu nahitaji humo.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Thread closed
0 Reactions
1 Replies
807 Views
KWA COMPUTER YOYOTE KUBADILI WINDOWS KUBADILI AU KUWEKA PROGRAMS CALL/SMS/WHATSAP 0787419289 TUPO UKONGA DAR.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Natafuta nyumba ya kupanga yenye chumba, sebule, jiko dogo na choo ndani.... maji yawepo na umeme wa kujitegemea.... Maeneo ninayoyahitaji ni kinondoni, sinza, ,mabibo, survey, mpakani...
1 Reactions
0 Replies
755 Views
Nyumba ipo maduka matatu umbali mfupi kitokea kimara mwisho. -chumba self na sebule -Ina tiles, madirisha alminium na iko katika ubora wa hali nzuri kabisa -Ina fensi, paking kubwa na ndani ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kampuni ya G-soft security systems inatoa ombi kwa watanzania wote wanaotaka kufungiwa mitambo ya ulinzi katika maeneo yao muhimu kama 1. Nyumbani 2.Viwandani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Je, una kazi inayohitaji Translation (ufasiri) au inayohitaji Editing (uhariri)? Huenda ni: - muswada wa kitabu (manuscript) - ripoti - filamu - kitabu - tovuti (websites) - dissertation - n.k...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapi naweza pata tv inch 32 nikiwa mbeya kwa bei nafuu..msaada tafadhali
1 Reactions
23 Replies
8K Views
Shamba ni la urithi bado halijapimwa. Lipo kijiji cha kwala wilaya ya kibaha vijijini(kijiji ambacho kuna miradi 2 mikubwa ya serikali yani ujenzi wa station ya reli mpya standard gauge pamoja na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama tangazo linavyojielezea nauza laptop yangu aina ya Samsung. Bei ni 200,000 ila maelewano yapo. Samsung NP-N150-JPB1US Netbook, Intel Atom N450 1.66GHz, 1GB, 250GB, 10.1", Windows 7 Starter...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nichek 0755384659
0 Reactions
5 Replies
957 Views
Naitaji kufahamu gharama ya kisima kirefu cha maji, nikifahamu bei yake basi nitaitaji nipate kisima SIMIYU bariadi Karibuni wataalamu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau naomba kujuzwa nina noah nahitaji niifanyie biashara ya usafirishaji.Naanzia wapi?maeneo gani naweza kupata wateja?Nipo dar
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom