Chelsea fc Tanzania

Chelsea fc Tanzania

Jay8

Member
Joined
May 26, 2017
Posts
40
Reaction score
49
[emoji170] Habari Tanzania
[emoji843]Napenda kuitambulisha kwenu page mpya ya washabiki wa chelsea Tanzania.
[emoji843]mshabiki yoyote kutoka nchi yoyote unakaribishwa kutoa support
[emoji843]Page itakua na habari zote muhimu kwa ajili yako mnazi wa chelsea
[emoji843]Mawazo yenu ni muhimu kama ilivo support yenu
[emoji843][emoji91]tegemea surprise na event nyingi msimu wa 2017/2018
[emoji843]naomba mnisaidie kushare ujumbe huu kwa wote
NENDA [emoji116]
[emoji117] Instagram
TAFUTA [emoji116]
[emoji117] chelseafc.tanzania (yenye bendera)
[emoji778] welcome all [emoji778]
 
Muu kuna watu ni mashabiki wa Chelsea wapo Kenya na maeneo mengine.. Hao hujawafikiria.?
Asante. Ndio maana kuna kipengele cha mawazo yenu. Page ni kwa ajili ya washabiki wa chelsea Tanzania. Ila mshabiki yoyote wa chelsea anakaribishwa.. Kenya wana yakwao.
Ila nalifanyia kazi
 
Back
Top Bottom