Deleted_account
JF-Expert Member
- Nov 1, 2008
- 3,385
- 3,703
Wadau habari zenu, nimepata tatizo la ghafla nahitaji 20,000 nitarudisha 25,000 jumatano. Sina cha kuweka dhamana ila ni uhakika(uaminifu 100%).
Msaada jamani ni shida ya kifamilia, asanteni.
UPDATE:
Nashukuru nilipata na nafanya mchakato wa kurudisha.
THANKS SANA JAMII FORUMS
LAST UPDATE:
ASANTENI wana JF, nilipata msaada na hili jambo limekwisha, mengine tunaendelea kuwasiliana naye.