Vifaa Vya Salon ya Kike Vinauzwa

Kk Maneti

Member
Aug 30, 2013
26
1
Vitu vya salon vinauzwa
1.Draya 7 Made In Italy
Zimetumika miezi mitatu tu
2.Steamer 2
3.Sofa ya watu watatu
4.Beseni la kuoshea kichwa
5.TV na king`amuzi chake cha Startimes
Contact me kwa namba 0717 242311...Vifaaaa viko Dar es salaam
 
njia rahisi ni kuweka bei ya kila kimoja tujipime wacha biashara za kizamani
 
Kila Draya moja ni tsh 100,000 na steamer ni tsh 150,000 kwa kila moja......tv inch 18 pamoja na king'amuzi tsh 80,000.....sofa ya watu watatu ni tsh 80,000
 
Kila Draya moja ni tsh 100,000 na steamer ni tsh 150,000 kwa kila moja......tv inch 18 pamoja na king'amuzi tsh 80,000.....sofa ya watu watatu ni tsh 80,000
asante...........kuna mtu nasubiri tufanye majadiliano kisha will come back if at all bado vitakuwepo
 
Ningekuwa Dar ningechukua hivyo vitu maana mke wangu anavihitaji sana.
 
Wengine humu wanaleta masihara tu msgs zenyewe hawajibu hata ukiwa pm hawajibu.ni viumbe wa ajabu!unawekaje biashara alafu hujibu na hufatilii chochote.na wakati mwingi msg unaona imemfikia kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom