Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Natafuta radio ya gari aina ya porte iwe na uwezo wa lusoma flash dvd bluetooth cd nk. Nataka used or mpya
0 Reactions
1 Replies
868 Views
Sheets To_Go ni mashuka kutoka Kampala-Uganda,,ni pure cotton(pamba 100%) 8*8 @80000(shuka 2 na foronya 4) Jumla kuanzia pea 10 8*8 @65000 Kwa waliopo Dar derivery ipo, gharama ya usafiri juu ya...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
kama kuna mtu anauza graphics card za computer ani inbox au 0684617704 tufanye biashara
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Karibuni tunapokea order za kitimoto (nyama ya nguruwe) kwajili ya kusambaza jumapili.kilo tunauza elfu 9 pmj na gharama nzima ya kusafirisha order popote ulipo.asante.sms 0756661761/+255627800800...
2 Reactions
34 Replies
13K Views
Kwa mwenye simu husika ambayo INA tatizo tofauti na hilo lkn kioo kipo sawa tuwasiliane, unaweza kunitumia number kwa PM ikiwezekana na bei yake.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu tunafunga CCTV camera kwenye nyumba,fence,kwnye ma-office na sehemu mbali mbali kwa ajiri ya kuimalisha ulinzi kwa mawasiriano piga 0756951864 or 0657650306
0 Reactions
8 Replies
4K Views
.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Karibuni wadau tunauza bidhaa hyo ya Vikapu vya kisasa kabisa kwa jumla na reja reja ,tunapatikana DSM na MOrogoro,kwa mawasiliano pigs simu namba 0769648110, na 0713689829 na 0718252251
0 Reactions
6 Replies
2K Views
500gb,na ina ram ya 4gb
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Asante kwa mlioniamini na asante kwa ushirikiano wenu na simu zimeisha ila wale walio agiza muda sio mrefu mnapata mzigo wenu nawale tuliopishana kauli asanten kwa changamoto zenu pia wapendwa...
0 Reactions
1 Replies
741 Views
Ziko poa bei sawa na bure zimabaki mbili kila moja 250,000/= Pioneer DJM 300 S Mixer Call/whatsapp 0764 876 888 DSM
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Je kuna mtu anaweza kutengeneza Sign board ya kutangaza biashara. Inbox please.
0 Reactions
1 Replies
846 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Natafuta mtu anayehusika na upulizi wa dawa za kuua wadudu majumbani maarufu kama fumigation. Iwe mtu binafsi au kampuni, napatikana Dar es Salaam. Mhusika...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
  • Closed
Habari wadau, Husika na kichwa hapo juu, mwenye printer aina ya Epson l800 iwe mpya au mtumba iliyo katika hali nzuri naomba aje inbox tufanye biashara ninahitaji. Wasaalam...!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
LAINI YA TIGO PESA NAUZA 200000 MOROGORO 0713055107
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hakuna lanyongeza kichwa cha habari chajitosheleza laini iko morogoro wasiliana nami 0713055107
0 Reactions
0 Replies
642 Views
LIPO SHAMBA LENYE HEKALI 100 LINAUZA KWA SH 25 PIA YAPO MASHAMBA MENGINE AMBAYO YANAUZWA HATA KWA HEKALI 1(0744990530) UMBALI NI KM 15 KUTOKA MJINI
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Habari wakuu.... Nimatumaini yangu mu wazima nina line ya kufanyia biashara ya M-Pesa kwa yeyote anaehitaji aje inbox niko Dodoma.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama unahitaji Kiwanja chenye hati tuwasiliane 645sq mita
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom